Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi,
Udhibiti wa dawa za kulevya na Ugonjwa wa Kifua kikuu, Mhe. Fatma Toufiq
(katikati) akiongoza mazungumzo kati ya Wajumbe wa kamati hiyo, Kamati ya Huduma
na Maendeleo ya Jamii pamoja na kamati ya Afya na Huduma kwa Watoto kutoka
Bunge la Zimbawe wakiongozwa na Kaimu Mwenyekiti wa kamati hiyo, Kanali Mstaafu
Dkt. Joshua Murire (kulia) katika kikao kilichofanyika leo tarehe 20 Septemba,
2022 katika Ukumbi wa Spika Bungeni Jijini Dodoma.
Wajumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi, Udhibiti wa dawa za kulevya na Ugonjwa wa Kifua kikuu pamoja na Kamati ya Huduma na Maendeleo ya Jamii wafanya mazungumzo na kamati ya Afya na Huduma kwa Watoto kutoka Bunge la Zimbawe kikao kilichofanyika leo tarehe 20 Septemba, 2022 katika Ukumbi wa Spika Bungeni Jijini Dodoma.
No comments:
Post a Comment