Naibu Spika wa
Bunge, Mhe. Mussa Azzan Zungu akizungumza na Spika wa Bunge la Wawakilishi la
Ufalme wa Morocco, Mhe. Rachid Talbi Alami katika kikao kilichofanyika leo
tarehe 6 Septemba, 2022 katika Ofisi za Bunge hilo Jijini Rabat Nchini Morocco.
Mazungumzo hayo
yalijikita kuimarisha Uhusiano wa Kibunge baina ya Mabunge ya nchi hizo pamoja
na kuimarisha Ushirikiano wa kiuchumi ikiwemo kilimo.
Mhe. Spika yupo
nchini Morocco kwa zaiara ya kikazi ya siku 5.
Naibu Spika wa
Bunge, Mhe. Mussa Azzan Zungu akimpatia zawadi Spika wa Bunge la Wawakilishi la
Ufalme wa Morocco, Mhe. Rachid Talbi Alami alipomtembelea leo tarehe 6 Septemba,
2022 Ofisini kwake Jijini Rabat Nchini Morocco.
Naibu Spika wa
Bunge, Mhe. Mussa Azzan Zungu akiagana na Spika wa Bunge la Wawakilishi la
Ufalme wa Morocco, Mhe. Rachid Talbi Alami baada ya mazungumzo yaliyofanyika leo
tarehe 6 Septemba, 2022 katika Ofisi za Bunge hilo Jijini Rabat Nchini Morocco.
Naibu Spika wa
Bunge, Mhe. Mussa Azzan Zungu akiongozana na Spika wa Bunge la Wawakilishi la
Ufalme wa Morocco, Mhe. Rachid Talbi Alami baada ya mazungumzo yaliyofanyika
leo tarehe 6 Septemba, 2022 katika Ofisi za Bunge hilo Jijini Rabat Nchini
Morocco.
No comments:
Post a Comment