Mbunge
Tamima Haji Abass akiapa kiapo cha uaminifu mbele ya Spika wa Bunge, Mhe. Dkt.
Tulia Ackson wakati wa Mkutano wa Nane Kikao cha kwanza cha Bunge leo tarehe 13
Septemba, 2022 Bungeni Jijini Dodoma. Kushoto ni Katibu wa Bunge, Ndg. Nenelwa
Mwihambi
No comments:
Post a Comment