Afisa Mtendaji Mkuu
wa Benki ya NMB, Ndg. Ruth Zaipuna (kulia) amemkabidhi vifaa vya michezo
Mwenyekiti wa timu ya Bunge Sports Club, Mhe. Tarimba Abbas (wapili kulia) tukio
lililofanyika leo tarehe 16 Septemba, 2022 katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni
Jijini Dodoma. Wapili kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa timu ya Bunge Sports Club,
Mhe. Esther Matiko na Afisa wa Bunge, Ndg. Rai Karinga
Makabidhiano hayo
ni kuelekea katika bonanza kati ya timu ya Bunge Sports Club na Benki ya NMB
linalotegemewa kufanyika kesho tarehe 17 Septemba, 2022 katika viwanja vya
Chinangali Jijini Dodoma.
No comments:
Post a Comment