Mkurugenzi wa Taasisi ya Jamii Forums Tanzania Ndg. Maxence Melo akiwasilisha maoni ya Taasisi hiyo kuhusu Muswada wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi wa Mwaka 2022 mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii katika ukumbi wa Msekwa Bungeni hii leo.
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria wakipokea maoni ya wadau kuhusu Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria mbalimbali Namba 3 wa Mwaka 2022.
Wajumbe
wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira wakijadili maoni
ya Wadau kuhusu Muswada wa Sheria ya Uwekezaji ya mwaka 2022.
Mwakilishi wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania Ndg. Paul Kisabo akiwasilisha maoni kuhusu Muswada wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi wa Mwaka 2022 mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii katika ukumbi wa Msekwa Bungeni hii leo.
No comments:
Post a Comment