Spika wa Bunge,
Mhe. Dkt. Tulia Ackson akiongoza kikao cha kamati ya uongozi cha kupokea na
kujadili Mapendekezo ya Ratiba ya Mkutano wa Tisa wa Bunge leo tarehe 31
Oktoba, 2022 Bungeni Jijini Dodoma.
Katibu wa Bunge,
Ndg. Nenelwa mwihambi, ndc akishiriki
katika kikao cha kamati ya uongozi cha kupokea na kujadili Mapendekezo ya
Ratiba ya Mkutano wa Tisa wa Bunge leo tarehe 31 Oktoba, 2022 Bungeni Jijini Dodoma.
Kulia ni Mwenyekiti wa kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge, Mhe. Emmanuel
Mwakilasa
Wajumbe wa kamati
ya uongozi ya Bunge wakiwa katika kikao cha kamati hiyo cha kupokea na kujadili
Mapendekezo ya Ratiba ya Mkutano wa Tisa wa Bunge leo tarehe 31 Oktoba, 2022
Bungeni Jijini Dodoma. Kuanzia kushoto ni Mwenyekiti wa kamati ya katibu na
Sheria, Mhe. Joseph Mhagama na Makamu Mwenyekiti wa Hesabu za Serikali, Mhe.
Japhet Hassunga.
No comments:
Post a Comment