Mwenyekiti wa Chama cha Wanawake wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika (CWP Africa Region) na Duniani, Mhe. Dkt. Zainab Gimba akiongoza majadiliano katika warsha ya uhamasishaji kwa Wajumbe wa Chama cha Wanawake wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika kuhusu Wabunge Wanawake katika uongozi na siasa iliyofanyika katika hoteli ya Ramada Jijini Dar es Salaam.
Warsha hiyo iliyoanza jana inategemea kumalizika leo uku ikiwa imehudhuriwa na nchi 10 za Afrika.
Mhadhiri Mstaafu wa
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Prof. Ruth Meena akitoa mada kuhusu migogoro Mbalimbali
wanayokutana nayo Wabunge wanawake baada ya uchaguzi katika warsha ya uhamasishaji kwa
Wajumbe wa Chama cha Wanawake wa Mabunge ya
Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika (CWP Africa Region) kuhusu Wabunge Wanawake
katika uongozi na siasa iliyofanyika katika hoteli ya Ramada Jijini Dar es
Salaam.
Warsha hiyo iliyoanza jana inategemea kumalizika leo uku ikiwa imehudhuriwa na nchi 10 za Afrika.
Wajumbe wa Chama
cha Wanawake wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika (CWP Africa
Region) wakimsikiliza Mhadhiri Mstaafu wa Chuo Kikuu cha
Dar es Salaam, Prof. Ruth Meena (hayupo kwenye picha) akitoa mada kuhusu migogoro Mbalimbali wanayokutana
nayo Wabunge wanawake baada ya uchaguzi katika warsha ya uhamasishaji kwa Wajumbe hao kuhusu
Wabunge Wanawake katika uongozi na siasa iliyofanyika katika hoteli ya Ramada
Jijini Dar es Salaam.
Warsha hiyo iliyoanza jana inategemea kumalizika leo uku ikiwa imehudhuriwa na nchi 10 za Afrika.
Mjumbe wa kamati ya uongozi ya Chama cha Wanawake wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika (CWP Africa Region), Mhe. Ndangiza Madina akichangia jambo wakati wa warsha ya uhamasishaji kwa Wajumbe wa Chama cha Wanawake wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika kuhusu Wabunge Wanawake katika uongozi na siasa iliyofanyika katika hoteli ya Ramada Jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment