Spika wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Uongozi, Mhe. Dkt.
Tulia Ackson akiongoza mafunzo ya kamati ya uongozi na Makamu Wenyeviti wa
Kamati za Kudumu za Bunge yaliyofanyika leo tarehe 27 Februari, 2023 katika ofisi
ndogo za Bunge Tunguu, Zanzibar
Spika wa Baraza la Wawakilishi
Zanzibar, Mhe. Zubeir Ali Maulid akitoa neno la ukaribisho kwa Wajumbe wakati
wa mafunzo ya Kamati ya uongozi na Makamu Wenyeviti wa Kamati za Kudumu za
Bunge yaliyofanyika leo tarehe 27 Februari, 2023 katika ofisi ndogo za Bunge Tunguu,
Zanzibar, Katikati ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti
wa Kamati ya Bunge ya Uongozi, Mhe. Dkt. Tulia Ackson na Spika Mstaafu wa Bunge
la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Anne Makinda
Katibu wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Ndg. Nenelwa Mwihambi, ndc akitoa neno la utangulizi wakati wa mafunzo ya Kamati ya
uongozi na Makamu Wenyeviti wa Kamati za Kudumu za Bunge yaliyofanyika leo
tarehe 27 Februari, 2023 katika ofisi ndogo za Bunge Tunguu, Zanzibar
Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Anne Makinda akitoa mada kuhusu Madaraka, Majukumu,
Mipaka ya Utendaji Kazi, Uzoefu na Changamoto katika Uendeshaji wa Kamati za
Bunge wakati wa mafunzo ya Kamati ya
uongozi na Makamu Wenyeviti wa Kamati za Kudumu za Bunge yaliyofanyika leo
tarehe 27 Februari, 2023 katika ofisi ndogo za Bunge Tunguu, Zanzibar
Mkufunzi wa Mafunzo Kutoka Taasisi ya
Uongozi (Uongozi Institute), Ndg. Zuhura Muro akitoa mada kuhusu Uongozi wa
Kimkakati katika uendeshaji wa Shughuli za Bunge wakati wa mafunzo ya Kamati ya
uongozi na Makamu Wenyeviti wa Kamati za Kudumu za Bunge yaliyofanyika leo
tarehe 27 Februari, 2023 katika ofisi ndogo za Bunge Tunguu, Zanzibar
Wajumbe wa Kamati ya uongozi
na Makamu Wenyeviti wa Kamati za Kudumu za Bunge wakiwa katika mafunzo kuhusu Madaraka,
Majukumu, Mipaka ya Utendaji Kazi, Uzoefu na Changamoto katika Uendeshaji wa
Kamati za Bunge na Uongozi wa Kimkakati katika uendeshaji wa Shughuli za Bunge yaliyofanyika
leo tarehe 27 Februari, 2023 katika ofisi ndogo za Bunge Tunguu, Zanzibar
No comments:
Post a Comment