Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na Spika wa Bunge,
Mhe. Dkt. Tulia Ackson kabla ya kufungua mafunzo ya kamati ya uongozi na Makamu
Wenyeviti wa Kamati za Kudumu za Bunge katika ofisi ndogo za Bunge Tunguu, Zanzibar
Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa akifungua mafunzo ya kamati ya uongozi na Makamu Wenyeviti wa Kamati za Kudumu za Bunge yaliyofanyika leo tarehe 28 Februari, 2023 katika ofisi ndogo za Bunge Tunguu, Zanzibar, Kulia ni Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja, Mhe. Rashid Hadidi
Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akitoa neno la
kumkaribisha mgeni rasmi wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya kamati ya uongozi na
Makamu Wenyeviti wa Kamati za Kudumu za Bunge uliofanyika leo tarehe 28
Februari, 2023 katika ofisi ndogo za Bunge Tunguu, Zanzibar, Kulia ni
Wajumbe wa Kamati ya uongozi na Makamu Wenyeviti wa Kamati za Kudumu wakishiriki katika ufunguzi wa mafunzo ya kamati hizo zilizofanyika leo tarehe 28 Februari, 2023 katika ofisi ndogo za Bunge Tunguu, Zanzibar
Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Kamati ya uongozi na Makamu Wenyeviti wa Kamati za Kudumu za Bunge mara baada ya kufungua mafunzo ya kamati ya uongozi na Makamu Wenyeviti wa Kamati za Kudumu za Bunge yaliyofanyika leo tarehe 28 Februari, 2023 katika ofisi ndogo za Bunge Tunguu, Zanzibar, Waliokaa Kulia kwake ni Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, Katibu wa Bunge, Ndg. Nenelwa Mwihambi, ndc (kulia), Mbunge wa Viti Maalum, Mhe. Riziki Lulida (kushoto) na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja, Mhe. Rashid Hadidi
Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Watumishi wa Ofisi ya Bunge mara baada ya kufungua mafunzo ya kamati ya uongozi na Makamu Wenyeviti wa Kamati za Kudumu za Bunge yaliyofanyika leo tarehe 28 Februari, 2023 katika ofisi ndogo za Bunge Tunguu, Zanzibar, Waliokaa Kulia kwake ni Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, Katibu wa Bunge, Ndg. Nenelwa Mwihambi, ndc (kulia), Mbunge wa Viti Maalum, Mhe. Riziki Lulida (kushoto) na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja, Mhe. Rashid Hadidi
Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa akisalimiana na Spika wa
Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson kabla ya kufungua mafunzo ya kamati ya
uongozi na Makamu Wenyeviti wa Kamati za Kudumu za Bunge yaliyofanyika leo
tarehe 28 Februari, 2023 katika ofisi ndogo za Bunge Tunguu, Zanzibar
No comments:
Post a Comment