Rais wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika hoteli ya Gran Melia, Jijini Arusha na kupokelewa na Spika wa Bunge la Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson kwa ajili ya kufungua Mkutano wa 53 wa Jukwaa la SADC leo tarehe 3 Julai, 2023. Wa kwanza kushoto ni Katibu wa Bunge la Tanzania, Ndg. Nenelwa Mwihambi, ndc
Rais wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
akiambatana na Spika wa Bunge la Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson wakielekea ukumbini kwa ajili ya
kufungua Mkutano wa 53 wa Jukwaa la SADC leo tarehe 3 Julai, 2023 katika hoteli
ya Gran Melia, Jijini Arusha.
Spika wa Bunge la Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akizungumza wakati wa Mkutano wa 53 wa Jukwaa la SADC uliofanyika leo tarehe 3 Julai, 2023 katika hoteli ya Gran Melia, Jijini Arusha na kufunguliwa na Rais wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Katibu wa Bunge la Tanzania, Ndg. Nenelwa Mwihambi, ndc
akizungumza wakati wa Mkutano wa 53 wa Jukwaa la SADC uliofanyika leo tarehe 3
Julai, 2023 katika hoteli ya Gran Melia, Jijini Arusha na kufunguliwa na Rais
wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Kwaya ya Bunge ikiimba wakati wa uzinduzi wa Mkutano wa
53 wa Jukwaa la SADC leo tarehe 3 Julai, 2023 katika hoteli ya Gran Melia,
Jijini Arusha, uzinduzi huo umefanywa na Rais wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia
Suluhu Hassan.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akifungua Mkutano wa 53 wa Jukwaa la SADC leo tarehe 3 Julai, 2023 katika hoteli ya Gran Melia, Jijini Arusha.
Wabunge wa Bunge la Tanzania wakishiriki katika uzinduzi wa Mkutano wa 53 wa Jukwaa la SADC leo tarehe 3 Julai, 2023 katika hoteli ya Gran Melia, Jijini Arusha, uzinduzi huo umefanywa na Rais wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
Wajumbe wa Jukwaa la SADC wakiwa katika picha ya pamoja
na Rais wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan mara baada ya kufungua
Mkutano wa 53 wa Jukwaa hilo leo tarehe 3 Julai, 2023 katika hoteli ya Gran
Melia, Jijini Arusha. Watatu kushoto waliokaa ni mwenyeji Spika wa Bunge la Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson na Rais wa SADC PF na Spika wa Bunge la Seychelles, Mhe. Roger Mancienne (Watatu kulia waliokaa).
Rais wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa
katika picha ya pamoja na Spika wa Bunge la Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson mara
baada ya kufungua Mkutano wa 53 wa Jukwaa la SADC leo tarehe 3 Julai, 2023
katika hoteli ya Gran Melia, Jijini Arusha.
No comments:
Post a Comment