Watumishi wa Ofisi ya Bunge wametembelea ofisi ya Katibu Tawala Mkoa wa Dar es Salaam, watoa elimu kuhusu Shughuli zinazofanywa na Bunge kwa wanafunzi wa Shule za msingi za Bunge, Mtendeni na Msimbazi jana tarehe 31 Julai, 2023 Jijini Dar es Salaam, ikiwa ni ziara ya utoaji elimu kwa wanafunzi wa Shule za msingi na Sekondari zilizopo katika Wilaya ya Ilala.
Ziara hii imeanza
jana tarehe 31 Julai, 2023 na inategemewa kuhitimishwa tarehe 11 Agosti, 2023.
No comments:
Post a Comment