WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Friday, January 19, 2024

KATIBU NENELWA AFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI MTENDAJI WA HESLB JIJINI DODOMA



Katibu wa Bunge, Ndg. Nenelwa Mwihambi, ndc akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), Ndg. Abdul-Razaq Badru alipomtembelea ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

Katibu wa Bunge, Ndg. Nenelwa Mwihambi, ndc akisoma machapisho aliyokabidhiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), Ndg. Abdul-Razaq Badru (kulia), alipomtembelea ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.


Katibu wa Bunge, Ndg. Nenelwa Mwihambi, ndc akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), Ndg. Abdul-Razaq Badru, alipomtembelea ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

No comments:

Post a Comment