Kamati ya Kudumu ya
Bunge ya Viwanda, Biashara na Kilimo yapokea na kujadili taarifa ya Wizara ya
Viwanda na Biashara kuhusu utekelezaji wa Bajeti kwa kipindi cha Julai hadi
Desemba 2023; na Utekelezaji wa Maazimio ya Bunge yaliyotokana na taarifa ya
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira kuhusu Shughuli za
Kamati kwa Mwaka 2022 iliyowasilishwa wakati wa Mkutano wa Kumi wa Bunge Jijini
Dodoma.
No comments:
Post a Comment