WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Friday, November 9, 2018

SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MWENYEKITI WA UVCCM TAIFA



Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akisalimiana na Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa Ndg. James Kheri alipomtembelea mapema leo Ofisini kwake Jijini Dodoma.



Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akizungumza  na Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa Ndg. James Kheri alipomtembelea mapema leo Ofisini kwake Jijini Dodoma.


Mhe. Job Ndugai katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa Ndg. James Kheri alipomtembelea mapema leo Ofisini kwake Jijini Dodoma.

SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNUGMZA NA BALOZI WA PALESNTINA OFISINI KWAKE JIJINI DODOMA



Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akisalimiana na Balozi wa Palestina nchini Hamdi AbuAli alipomtembelea mapema leo Ofisini kwake Jijini Dodoma.



Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akizungumza na Balozi wa Palestina nchini Hamdi AbuAli alipomtembelea mapema leo Ofisini kwake Jijini Dodoma.




Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai katika picha ya pamoja  na Balozi wa Palestina nchini Hamdi AbuAli mara baada ya kuzungumza naye mapema leo Ofisini kwake Jijini Dodoma.


Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (wa pili kulia )katika picha ya pamoja  na Balozi wa Palestina nchini Hamdi AbuAli (wa pili kushoto) mara baada ya kuzungumza naye mapema leo Ofisini kwake Jijini Dodoma. Kushoto ni Mhe. Amina Makilagi na Kulia ni Mhe. Lolesia Bukwimba.

WITO WA WADAU KUTOA MAONI KUHUSU AZIMIO LA BUNGE


Thursday, November 8, 2018

BALOZI WA CHINA AMTEMBELEA SPIKA WABUNGE OFISINI KWAKE BUNGENI JIJINI DODOMA

 Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai akizungumza na Balozi wa China Nchini Tanzania Mheshimiwa Wang Ke alipomtembelea Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.  

Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa China Nchini Tanzania Mheshimiwa Wang Ke alipomtembelea Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.


 Balozi wa China nchini Tanzania Mheshimiwa Wang  Ke (katikati) akiwa katika Picha ya pamoja na Wabunge ambao ni wajumbe wa Chama cha urafiki wa kibunge baina ya Bunge la Tanzania na nchi ya China alipokutana nao leo Bungeni Jijini Dodoma.

Balozi wa China nchini Tanzania Mheshimiwa Wang  Ke akizungumza na Wabunge ambao ni baadhi ya wajumbe wa Chama cha Urafiki wa Kibunge baina ya Bunge la Tanzania na Nchi ya China alipokutana nao leo Bungeni Jijini Dodoma.