WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Wednesday, May 29, 2019

BUNGE LAPITISHA BAJETI YA WIZARA YA NISHATI

KUELEKEA BAJETI KUU TAREHE 13-06-2019

KAMATI YA MIUNDOMBINU YAFANYA TATHIMINI YA MIRADI WALIYOIKAGUA

Wajumbe wa Kamati ya Miundombinu wakiwa katika kikao cha kufanya ya tathimini ya utekelezaji wa ziara za kukagua miradi zilizofanywa na Kamati hiyo katika kipindi cha mwaka 2018/2019 kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.

Katibu wa Kamati ya Miundombinu,Hosiana John akisoma taarifa ya tathimini ya utekelezaji wa ziara za kukagua miradi zilizofanywa na Kamati hiyo katika kipindi cha mwaka 2018/2019 kkwenye kikao cha kamati hiyo kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu, Mhe. Moshi Kakoso akizungumza katika kikao cha kamati hiyo kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma, Kamati ilikutana kwa ajili tathimini ya utekelezaji wa ziara zake za kukagua miradi kwa mwaka 2018/2019.

Wajumbe wa Kamati ya Miundombinu wakiendelea na katika kikao

Tuesday, May 28, 2019

WAJUMBE WA BODI YA LSP WAKUTANA

Wajumbe wa Bodi ya Mradi wa Kulijengea Bunge Uwezo Awamu ya Pili (LSP II) wakiwa katika kikao cha Bodi kilichofanyika Katika Ukumbi wa Spika Jijini Dodoma kikao hicho kiliongozwa na Naibu Spika, Mhe. Dkt.Tulia Ackoson na Kaimu Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Ndugu Verity Nyagah

Kaimu Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Ndugu Verity Nyagah kizungumza  katika kikao cha Bodi ya Mradi wa Kulijengea Bunge Uwezo Awamu ya Pili (LSP II)  kilichofanyika Katika Ukumbi wa Spika Jijini Dodoma, kulia ni Naibu Spika, Mhe. Dkt.Tulia Ackoson

NAIBU SPIKA AFANYA MAZUNGUMZO NA KAIMU MKURUGENZI MKAZI WA UNDP

Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akizungumza na Kaimu Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Ndugu Verity Nyagah alipomtembelea ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akizungumza na Kaimu Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Ndugu Verity Nyagah alipomtembelea ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Mkurugenzi huyo aliambatana na viongozi mbalimbali wanaosimamia Mradi wa Kulijengea Bunge Uwezo (LSP)