Friday, June 4, 2021
Thursday, June 3, 2021
Wednesday, June 2, 2021
Tuesday, June 1, 2021
Monday, May 31, 2021
ALYEKUWA KATIBU WA BUNGE ALIPOTEMBELEA BUNGE NA KUKABIDHI OFISI KWA KATIBU MPYA
Aliyekuwa
Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai (kushoto) akabidhi Ofisi kwa Katibu Mpya
wa Bunge, Ndg. Nenelwa Mwihambi tukio lililofanyika leo katika ofisi za Bunge
Jijini Dodoma.
Aliyekuwa Katibu wa Bunge, Bw. Stephen Kagaigai ambaye
aliteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro pamoja na Katibu Mpya wa Bunge, Bi.
Nenelwa Mwihambi walipotambulishwa Bungeni.
Aliyekuwa Katibu wa Bunge, Bw. Stephen Kagaigai ambaye
aliteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro pamoja na Katibu Mpya wa Bunge, Bi.
Nenelwa Mwihambi walipotambulishwa Bungeni.
Aliyekuwa Katibu wa Bunge, Bw. Stephen Kagaigai akizungumza na
Menejimenti ya Ofisi ya Bunge mara baada ya kukabidhi Ofisi kwa Katibu Mpya,
Bi. Nenelwa Mwihambi Jijini Dodoma.
Aliyekuwa Katibu wa Bunge, Bw. Stephen Kagaigai na Katibu Mpya,
Bi. Nenelwa Mwihambi katika picha ya pamoja na na Menejimenti ya Ofisi ya Bunge
mara baada ya makabidhiano ya Ofisi Jijini Dodoma.
SPIKA WA BUNGE MHE. JOB NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA CHINA NCHINI
Spika wa Bunge, Job Ndugai (kushoto) akizungumza na ugeni kutoka
Ubalozi wa China nchini (kushoto kwake) ukiongozwa na Balozi wa China nchini
Tanzania, Mhe. Wang Ke (wa kwanza kushoto kwake) walipomtembelea leo Ofisini
kwake Bungeni Jijini Dodoma. Kulia kwake ni Naibu Spika wa Bunge, Dkt.Tulia
Ackson
Spika wa Bunge, Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Balozi wa China nchini
Tanzania, Mhe. Wang Ke alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini
Dodoma.
Spika wa Bunge, Job Ndugai (katikati) katika picha ya pamoja na
Balozi wa China nchini Tanzania, Mhe. Wang Ke (kulia) na Naibu Spika wa
Bunge, Dkt. Tulia Ackson alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini
Dodoma.



