WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Tuesday, December 7, 2021

TIMU YA BUNGE LA TANZANIA YAIBUKA KIDEDEA MCHEZO WA MPIRA WA PETE DHIDI YA TIMU YA BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR

 

Mchezaji wa Timu ya Bunge ya Mpira wa Pete, Mheshimiwa Esther Matiko akidaka mpira wakati Timu ya Bunge ilipocheza na Timu ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Shekhe Amri Abeid kwenye michuano ya michezo ya Mabunge ya Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki inayoendelea Jijini Arusha.Timu ya Bunge iliibuka kidedea kwa Magoli 44-32
Mchezaji wa Timu ya Bunge ya Mpira wa Pete, Mheshimiwa Amina Mabrouk akidaka mpira wakati Timu ya Bunge ilipocheza na Timu ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Shekhe Amri Abeid kwenye michuano ya michezo ya Mabunge ya Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki inayoendelea Jijini Arusha.Timu ya Bunge iliibuka kidedea kwa Magoli 44-32
Wachezaji wa Timu ya Bunge ya Mpira wa Pete (wenye nyeupe) wakichuana vikali na Timu ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Shekhe Amri Abeid kwenye michuano ya michezo ya Mabunge ya Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki inayoendelea Jijini Arusha.Timu ya Bunge iliibuka kidedea kwa Magoli 44-32
Wachezaji wa Timu ya Bunge ya Mpira wa Pete (wenye nyeupe) wakiwa katika picha ya pamoja na Timu ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar  baada ya kumaliza kucheza katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Shekhe Amri Abeid kwenye michuano ya michezo ya Mabunge ya Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki inayoendelea Jijini Arusha.Timu ya Bunge iliibuka kidedea kwa Magoli 44-32

Thursday, November 25, 2021

WABUNGE WAENDELEA NA MAZOEZI KUJINOA KWA AJILI MASHINDANO YA MABUNGE YA AFRIKA MASHARIKI

Mbunge wa Jimbo la Maswa Mashariki, Mhe. Stanslaus Nyongo akidaka mpira wakati Timu ya Bunge ya Mpira wa Kikapu ikifanya mazoezi kwa ajili ya maandalizi ya mashindano ya Mabunge ya Nchi za Afrika Mashariki yanayotarajia kuanza Desemba 4, 2021 Jijini Arusha.
Timu ya Bunge ya Mpira wa Kikapu ikifanya mazoezi kwa ajili ya maandalizi ya mashindano ya Mabunge ya Nchi za Afrika Mashariki yanayotarajia kuanza Desemba 4, 2021 Jijini Arusha.
Mbunge wa Mlimba, Mheshimiwa Godwin Kunambi akipiga mpira wakati Timu ya Mpira wa Miguu ya Bunge ikifanya mazoezi kwa jailli ya maandalizi mashindano ya Mabunge ya Nchi za Afrika Mashariki yanayotarajia kuanza Desemba 4, 2021 Jijini Arusha, nyuma ni Mbunge wa Dodoma Mjini Mheshimiwa Anthony Mavunde
Mbunge wa Chalinze, Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete akipiga mpira wakati Timu ya Mpira wa Miguu ya Bunge ikifanya mazoezi kwa jailli ya maandalizi mashindano ya Mabunge ya Nchi za Afrika Mashariki yanayotarajia kuanza Desemba 4, 2021 Jijini Arusha, nyuma ni Mbunge wa Dodoma Mjini Mheshimiwa Anthony Mavunde