WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Saturday, March 26, 2016

SPIKA WA BUNGE AKUTANA NA MKURGENZI MKUU WA BUNGE LA ISRAEL


Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akizungumza na  Mkurugenzi Mkuu wa Bunge la Israel, Ronen Plot (wa kwanza kulia) aliyemtembelea Jijini Dar es Salaam.

Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Bunge la Israel, Ronen Plot  aliyemtembelea Ofisini Jijini Dar es Salaam.





Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akimkabidhi zawadi Mkurugenzi Mkuu wa Bunge la Israel, Ronen Plot  aliyemtembelea Ofisini Ofisini Jijini Dar es Salaam.


Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Bunge la Israel, Ronen Plot (kulia kwake) na viongozi wengine waliombatana na ujumbe huo.


Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akizungumza na Mzee Ibarahim Kaduma ambaye ni Mweyekiti wa Kingdom Leadership Network Tanzania (KLNT). Mzee Kaduma aliambatana na Ujumbe wa Israel uliomtembelea Spika ambao ndio wafadhili wa KLNT.

Thursday, March 24, 2016

KATIBU WA BUNGE DKT. THOMAS KASHILILAH AKUTANA NA MKURUGENZI WA BUNGE LA ISRAEL.

Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Thomas Kashililah (kulia) akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Bunge la Israel wakati alipomtembelea leo ofisini kwake Jijini Dar es Salaam na kufanya mazungumzo naye.

Mkurugenzi Mkuu wa Bunge la Israel, Rone Plot (kushoto) akimwelezea jambo Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Thomas Kashililah wakati alipomtembelea leo ofisini kwake jijini Dar es Salaam na kufanya mazungumzo naye.


Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Thomas Kashililah (kushoto) akimweleza jambo Mkurugenzi Mkuu wa Bunge la Israel, Rone Plot wakati alipomtembelea leo ofisini kwake jijini Dar es Salaam.

Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Thomas Kashililah (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Bunge la Israel, Rone Plotwakati alipomtembelea leo ofisini kwake jijini Dar es Salaam na kufanya mazungumzo naye.


Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Thomas Kashililah (kulia) akiongea na Mkurugenzi Mkuu wa Bunge la Israel, Rone Plot wakati wa chakula cha mchana katika hoteli ya Kilimanjaro iliyopo jijini Dar es Salaam.

Mazungumzo katika Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Thomas Kashililah na Mkurugenzi Mkuu wa Bunge la Israel, Rone Plot yakiendelea katika hoteli ya Kilimanjaro iliyopo jijini Dar es Salaam.

Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Thomas Kashililah (kulia) akimkabidhi zawadi ya trei ya kubebea vinywaji mke wa Mkurugenzi Mkuu wa Bunge la Israel, Bi. Shosh Plot wakati wa chakula cha mchana katika hoteli ya Kilimanjaro iliyopo jijini Dar es Salaam.

Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Thomas Kashililah (kulia) akipokea zawadi toka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Bunge la Israel, Ronen Plot wakati wa chakula cha mchana katika hoteli ya Kilimanjaro iliyopo jijini Dar es Salaam.

Naibu Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Joel (kulia) akipokea zawadi toka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Bunge la Israel, Ronen Plot wakati wa chakula cha mchana katika hoteli ya Kilimanjaro iliyopo jijini Dar es Salaam.


Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Thomas Kashililah (kulia) akimkabidhi zawadi ya kinyago Mkurugenzi Mkuu wa Bunge la Israel, Ronen Plot wakati wa chakula cha mchana katika hoteli ya Kilimanjaro iliyopo jijini Dar es Salaam.

Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Thomas Kashililah (wa pili kulia)akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Bunge la Israel, Ronen Plot (wa pili kushoto) wakati wa chakula cha mchana katika hoteli ya Kilimanjaro iliyopo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Naibu Katibu wa Bunge John Joel.

Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Thomas Kashililah (kulia) akiagana na Mkurugenzi Mkuu wa Bunge la Israel, Rone Plot wakati mara baada ya kumaliza mazungumzo katika hoteli ya Kilimanjaro jijini Dar es Salaam.

 (Picha zote na Ofisi ya Bunge)