WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Saturday, March 26, 2016

SPIKA WA BUNGE AKUTANA NA MKURGENZI MKUU WA BUNGE LA ISRAEL


Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akizungumza na  Mkurugenzi Mkuu wa Bunge la Israel, Ronen Plot (wa kwanza kulia) aliyemtembelea Jijini Dar es Salaam.

Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Bunge la Israel, Ronen Plot  aliyemtembelea Ofisini Jijini Dar es Salaam.





Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akimkabidhi zawadi Mkurugenzi Mkuu wa Bunge la Israel, Ronen Plot  aliyemtembelea Ofisini Ofisini Jijini Dar es Salaam.


Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Bunge la Israel, Ronen Plot (kulia kwake) na viongozi wengine waliombatana na ujumbe huo.


Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akizungumza na Mzee Ibarahim Kaduma ambaye ni Mweyekiti wa Kingdom Leadership Network Tanzania (KLNT). Mzee Kaduma aliambatana na Ujumbe wa Israel uliomtembelea Spika ambao ndio wafadhili wa KLNT.

No comments:

Post a Comment