|
Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.
Dkt. Thomas Kashililah (kulia) akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Bunge la
Israel wakati alipomtembelea leo ofisini kwake Jijini Dar es Salaam na kufanya mazungumzo
naye.
|
|
Mkurugenzi Mkuu wa Bunge la Israel, Rone Plot (kushoto)
akimwelezea jambo Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt.
Thomas Kashililah wakati alipomtembelea leo ofisini kwake jijini Dar es Salaam
na kufanya mazungumzo naye.
|
|
Katibu
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Thomas Kashililah
(kushoto) akimweleza jambo Mkurugenzi Mkuu wa Bunge la Israel, Rone Plot wakati
alipomtembelea leo ofisini kwake jijini Dar es Salaam. |
|
Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.
Dkt. Thomas Kashililah (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu
wa Bunge la Israel, Rone Plotwakati alipomtembelea leo ofisini kwake jijini Dar
es Salaam na kufanya mazungumzo naye.
|
|
Katibu
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Thomas Kashililah
(kulia) akiongea na Mkurugenzi Mkuu wa Bunge la Israel, Rone Plot wakati wa
chakula cha mchana katika hoteli ya Kilimanjaro iliyopo jijini Dar es Salaam. |
|
Mazungumzo katika Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Mhe. Dkt. Thomas Kashililah na Mkurugenzi Mkuu wa Bunge la Israel,
Rone Plot yakiendelea katika hoteli ya Kilimanjaro iliyopo jijini Dar es
Salaam.
|
|
Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.
Dkt. Thomas Kashililah (kulia) akimkabidhi zawadi ya trei ya kubebea vinywaji
mke wa Mkurugenzi Mkuu wa Bunge la Israel, Bi. Shosh Plot wakati wa chakula cha
mchana katika hoteli ya Kilimanjaro iliyopo jijini Dar es Salaam.
|
|
Katibu
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Thomas Kashililah
(kulia) akipokea zawadi toka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Bunge la Israel, Ronen Plot
wakati wa chakula cha mchana katika hoteli ya Kilimanjaro iliyopo jijini Dar es
Salaam. |
|
Naibu Katibu
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Joel
(kulia) akipokea zawadi toka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Bunge la Israel, Ronen Plot
wakati wa chakula cha mchana katika hoteli ya Kilimanjaro iliyopo jijini Dar es
Salaam. |
|
Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.
Dkt. Thomas Kashililah (kulia) akimkabidhi zawadi ya kinyago Mkurugenzi Mkuu wa
Bunge la Israel, Ronen Plot wakati wa chakula cha mchana katika hoteli ya
Kilimanjaro iliyopo jijini Dar es Salaam.
|
|
Katibu
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Thomas Kashililah (wa
pili kulia)akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Bunge la Israel,
Ronen Plot (wa pili kushoto) wakati wa chakula cha mchana katika hoteli ya
Kilimanjaro iliyopo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Naibu Katibu wa Bunge John
Joel. |
|
Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.
Dkt. Thomas Kashililah (kulia) akiagana na Mkurugenzi Mkuu
wa Bunge la Israel, Rone Plot wakati mara baada ya kumaliza mazungumzo katika hoteli ya Kilimanjaro jijini Dar
es Salaam. |
(Picha zote na Ofisi ya Bunge)
No comments:
Post a Comment