WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Tuesday, March 22, 2016

DG WA EWURA AMTEMBELEA SPIKA JOB NDUGAI.

Naibu Spika wa Bunge Dkt Tulia Ackson kizungumza na Wajumbe wa  Kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama wakati Kamati hiyo ilipokutana na  Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa.

  Naibu Spika wa Bunge Dkt Tulia Ackson akifuatilia Mjadala kati ya  Wajumbe wa  Kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama na  Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa alipoitembelea kamati hiyo. Anayezungumza  kushoto kwake ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe Balozi Adadi Rajabu  na (kulia mwenye tai yekundu) ni Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe Charles Kitwaga.

 Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa EWURA Bw. Felix Mgamlagosi aliyemtembelea leo ofisini kwake Jijini 
Dar es Salaam.

 Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa EWURA Bw. Felix Mgamlagosi aliyemtembelea leo ofisini kwake Jijini Dar es Salaam. Kulia Ni Afisa Meneja Mahusinao wa EWURA Bw Titus Kaguo.

 Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akimsikiliza Meneja Mahusiano wa EWURA Bw Titus Kaguo wakati walipomtemblea Ofisini kwake kati kati ni Mkurugenzi Mtendaji wa EWURA Bw. Felix Mgamlagosi.

(Picha zote na Ofisi ya Bunge)

No comments:

Post a Comment