Spika
wa Bunge la Jamhuri ya Muunganao wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai (kulia)
akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya CCBRT Bw. Erwin Telemans
(kushoto) wakati alipotembelea hospitali hiyo kwa mara ya kwanza akiwa ni Mlezi
wa Hospitali hiyo.Katikati ni Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii,
Jinsia, Wazee na Watoto Mpoki Ulisubisya.
|
No comments:
Post a Comment