WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Thursday, April 21, 2016

NAIBU SPIKA ALIPOKUTANA NA WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI HURUMA WALIOTEMBELEA BUNGE MAPEMA LEO

Naibu Spika wa Bunge Dkt Tulia Ackson akiwa katika picha ya pamoja na Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Huruma walipotembelea Bunge mapema leo.

Naibu Spika wa Bunge Dkt Tulia Ackson akizungumza pamoja na Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Huruma walipotembelea Bunge mapema leo.

Naibu Spika wa Bunge Dkt Tulia Ackson akizungumza pamoja na Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Huruma walipotembelea Bunge mapema leo.

Afisa Habari wa Bunge Bw. Patson Sobha akiwaelimisha Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Huruma kuhusu masuala mbalimbali ya Bunge walipotembelea Bunge mapema leo

Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Huruma akiuliza swali kuhusu masuala ya Bunge wakati alipotembelea Bunge pamoja na wenzake mapema leo.

No comments:

Post a Comment