Waziri wa
Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango (kushoto) akiwa ameongozana na Mbunge
mwenzie wakiwasili katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma kuhudhuria vikao vya
Bunge hilo leo 27 Mei, 2016.
|
Mwenyekiti wa Bunge, Mhe. Andrew Chenge akiwasili katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma kuhudhuria vikao ndani ya Bunge hilo leo 27 Mei, 2016. |
Mbunge wa
CCM Jimbo la Pangani, Mhe. Jumaa Aweso (kulia) akiwa ameongozana na Mbunge
mwenzie wakiingia ndani ya Bunge mjini Dodoma kuhudhuria vikao vya Bunge hilo
leo 27 Mei, 2016.
|
Mbunge wa
CHADEMA Jimbo la Mlimba, Mhe. Susan Kiwanga akiwasili katika viwanja vya Bunge
mjini Dodoma kuhudhuria vikao vya Bunge hilo leo 27 Mei, 2016.
|
Mbunge wa
Viti Maalum CCM, Mhe. Martha Mlata (kushoto) akiwa ameongozana na Mbunge
mwenzie wakiingia ndani ya Bunge mjini Dodoma kuhudhuria vikao vya Bunge hilo
leo 27 Mei, 2016.
|
Mbunge wa
Viti Maalum Chadema, Mhe. Dkt. Elly Macha (kulia) akisaidiwa kuingia Bungeni
mjini Dodoma kuhudhuria vikao vya Bunge hilo leo 27 Mei, 2016.
|
Mbunge wa CCM Jimbo la Hanang, Mhe. Dkt. Mary Nagu akiwasili viwanja vya Bunge mjini Dodoma leo 27 Mei, 2016 kuhudhuria vikao vya asubuhi ndani ya Bunge hilo. |
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. George Masaju akichangia hoja kuhusu swali lililohusu malipo kwa Wastaafu ndani ya Bunge mjini Dodoma, 27 Mei, 2016. |
No comments:
Post a Comment