WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Friday, May 27, 2016

NAIBU SPIKA KATIKA PICHA NA VIONGOZI WA CCM KUTOKA MKOA WA MBEYA NA SOGWE

Naibu Spika Dkt Tulia Acskon akiwa katika picha pamoja na Mhe Zitto Kabwe pamoja na Viongozi wa CCM kutoka Mkoa wa Mbeya na Sogwe waliotembelea Bunge

Naibu Spika Dkt Tulia Acskon akisalimiana  na Viongozi wa CCM kutoka Mkoa wa Mbeya na Sogwe waliotembelea Bunge

Naibu Spika Dkt Tulia Acskon akisalimiana  na Viongozi wa CCM kutoka Mkoa wa Mbeya na Sogwe waliotembelea Bunge

Naibu Spika Dkt Tulia Acskon akiwa katika picha ya pamoja  na Viongozi wa CCM kutoka Mkoa wa Mbeya na Sogwe waliotembelea Bunge

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Vijana Mhe Anthony Mavunde akiwasalimia Wanafunzi wa chuo cha Ufundi VETA-Dodoma waliotembelea Bunge.

Waziri wa Elimu, Sayansi na Tenknolojia Mhe Prof. Joyce Ndalichako katika picha ya pamoja na Wanafunzi wa chuo cha Ufundi VETA-Dodoma waliotembelea Bunge.

No comments:

Post a Comment