Baadhi ya Watumishi wa Bunge wakiaga mwili wa aliyekuwa Mtumishi mwenzao Marehemu Betty Saro |
Naibu Katibu wa Bunge-Shughuli za Bunge, John Joel akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Mtumishi wa Bunge Marehemu Betty Saro |
Katibu wa Bunge Dkt Thomas Kashililah akitoa heshima za mwisho kwa mwili aliyekuwa Mtumishi wa Bunge Marehemu Betty Saro. |
Mkurugenzi wa Idara ya Utafiti na Maktaba-Bunge Bi Justina Shauri akitoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa Katibu Muhtasi wake Marehemu Betty Saro. Wengine katika picha ni Watumishi wa Bunge. |
Mbunge wa Ilala Mhe Hassan Mussa Zungu akitoa salamu za rambirambi kwa niaba ya Spika wa Bunge wakati wa kuaga mwili wa aliyekuwa Mtumishi wa Bunge Marehemu Betty Saro. |
Katibu wa Bunge Dkt Thomas Kashililah akisaini kitabu cha maombolezo wakati wa kuaga mwili wa aliyekuwa Mtumishi wa Bunge Marehemu Betty Saro. |
No comments:
Post a Comment