WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Tuesday, May 3, 2016

SPIKA WA BUNGE ALIPOHUTUBUIA BUNGE LA AFRIKA

Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akilihutubia Bunge la Afrika kuwasilisha Ujumbe wa Mshikamano kwa wabunge wa Bunge hilo wakati wa Ufunguzi wa rasmi wa Mkutano wa Pili wa Bunge hilo uliofanyika Mjini Midrand, Afrika Kusini.

Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai  akifuatilia pamoja na Viongozi wengine kutoka Bara la Afrika
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akiwa katika Picha ya pamoja na Balozi wa Tanzania Nchini Afrika Kusini Mhe. Radhia Msuya pamoja na Wabunge wa Bunge la Afrika wanaowakilisha Tanzania katika Bunge hilo mara baada ya Mhe. Spika kuhutubia Bunge hilo.

Wabunge wa Bunge la Afrika wanaowakilisha Tanzania wakila kiapo cha uaminifu. Kutoka kushoto ni Mhe. Asha Abdalah Juma, Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile, Mhe. David Silinde na Mhe. Mboni Mhita.

Spika akitoa Hotuba

No comments:

Post a Comment