WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Saturday, May 14, 2016

SPIKA WA BUNGE ALIPOFUNGUA SEMINA YA KAMATI YA UONGOZI

Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akifungua Semina ya Kamati ya Uongozi Mjini Dodoma. Kushoto ni Naibu Spika Dkt Tulia Ackson na Kulia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Bajeti Mhe Hawa Ghasia.

Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akizungumza na Waandishi wa Habari mara baada ya  kufungua Semina ya Kamati ya Uongozi Mjini Dodoma.

Wakili wa Kujitegemea Bw. Said Yakubu akiwasilisha mada katika Semina hiyo.

Wakili Harold Sungusia kutoka LHRC akiwasilisha mada wakati wa Semina hiyo


Mwenyekiti wa Bunge Mhe Azzan Mussa Zungu akichagia jambo wakati wa Semina hiyo.

Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama Balozi Adadi Rajabu akichangia wakati waSemina hiyo.

Naibu Spika wa Bunge Dkt Tulia Akson  akizungumza wakati wa Semina hiyo.

Naibu Kamishina wa Bajeti kutoka Wizara ya Fedha na Mipango Dkt Charles Mwamaja  akitoa mada wakati wa Semina hiyo.

No comments:

Post a Comment