WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Saturday, June 18, 2016

NAIBU SPIKA ALIPOKUTANA NA UJUMBE WA WABUNGE KUTOKA BUNGE LA CHINA

 Ujumbe wa Wabunge wa Kamati ya Mambo ya  Nje kutoka Bunge la China wakiwasili Bungeni Mjini Dodoma ambapo walikutana na kufanya mazungumzo na Naibu Spika Dkt Tulia Ackson pamoja na Kamati ya Katiba na Sheria na Kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama.

   Naibu Spika Dkt Tulia Ackson akisalimiana na Kiongozi wa Msafara wa Ujumbe wa Wabunge wa Kamati ya Mambo ya  Nje kutoka Bunge la China ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe  Zhang Haiyang wakati alipofanya mazungumzo na Kamati hiyo Ofisini kwake Mjini Dodoma.

Naibu Spika Dkt Tulia Ackson akizungumza na Ujumbe wa Wabunge wa Kamati ya Mambo ya  Nje kutoka Bunge la China  kushoto  ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe  Zhang Haiyang ambaye pia ni Kiongozi wa Msafara huo.

   Kiongozi wa Msafara Ujumbe wa Wabunge wa Kamati ya Mambo ya  Nje kutoka Bunge la China ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe  Zhang Haiyang (katikati) akisanini Kitabu cha Wageni alipomtembelea Naibu Spika Dkt Tulia Ackson ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma.

   Kiongozi wa Msafara Ujumbe wa Wabunge wa Kamati ya Mambo ya  Nje kutoka Bunge la China ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe  Zhang Haiyang  akimkabidhi Naibu Spika Dkt Tulia Ackson zawadi mara baada ya kuzungumza nao ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma.

  Kiongozi wa Msafara Ujumbe wa Wabunge wa Kamati ya Mambo ya  Nje kutoka Bunge la China ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe  Zhang Haiyang  akimkabidhi Naibu Spika Dkt Tulia Ackson zawadi mara baada ya kuzungumza nao ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma.

 Naibu Spika Dkt Tulia Ackson akiangalia zawadi aliyopewa na  na Kiongozi wa Msafara Ujumbe wa Wabunge wa Kamati ya Mambo ya  Nje kutoka Bunge la China ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe  Zhang Haiyang  mara baada ya kuzungumza nao ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma.

   Ujumbe wa Wabunge wa Kamati ya Mambo ya  Nje kutoka Bunge la China wakizungumza na  Kamati ya Katiba na Sheria ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

   Ujumbe wa Wabunge wa Kamati ya Mambo ya  Nje kutoka Bunge la China katika picha ya pamoja na  Wajumbe wa Kamati Mambo ya Nje ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.


No comments:

Post a Comment