Mratibu Mkazi wa
Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP)
nchini, Rodriguez Alvaro (kulia)
akizungumza na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
Tulia Ackson (kulia) mara baada ya kufika Ofisini kwake Bungeni Dodoma leo.
Naibu Spika wa Bunge
la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson (kulia) akizungumza na Mratibu
Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo
(UNDP) nchini Tanzania , Rodriguez Alvaro (kulia) mara baada ya mwakilishi huyo
kufika Ofisini kwake Bungeni Dodoma leo.
Mratibu Mkazi wa
Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP)
nchini, Rodriguez Alvaro (kulia)
akimwonesha Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson
(kulia) sehemu ya taarifa ya mwaka ya utekelezaji wa programu mbalimbali za
Umoja wa Mataifa nchini mara baada ya kufika Ofisini kwake Bungeni Dodoma leo.
Mratibu Mkazi wa
Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP)
nchini, Rodriguez Alvaro (kulia)
akimkabidhi Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson
(kulia) taarifa ya mwaka ya utekelezaji wa programu mbalimbali za Umoja wa
Mataifa nchini mara baada ya kufika Ofisini kwake Bungeni Dodoma leo.
Wabunge Mhe.
Margaret Sitta (Kushoto) na Mhe. Najma Murtaza Giga, Mwenyekiti wa Bunge wakiwa
katika picha ya pamoja kwenye rangi za Malengo Mapya ya Maendeleo Endelevu 17 ya
dunia wakati wa Semina ya wabunge kuhusu mchango wao katika utekelezaji wa
malengo hayo nchini iliyofanyika Bungeni, Dodoma.
Naibu Spika wa Bunge
la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson (kulia) akiwa katika picha
ya pamoja na Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa
Shirika la Maendeleo (UNDP) nchini Tanzania , Rodriguez Alvaro (kulia) kwenye rangi za Malengo Mapya
ya Maendeleo Endelevu 17 ya dunia wakati wa Semina ya wabunge kuhusu mchango
wao katika utekelezaji wa malengo hayo Bungeni Dodoma leo.
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. Tulia Ackson akiwa ameshika mabango mawili yenye malengo mapya 2 ya
Maendeleo Endelevu kati ya 17 ya Umoja wa Mataifa yanayotakiwa kutekelezwa duniani
kote kuanzia mwaka huu hadi 2030.
Naibu Waziri wa
Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura (kushoto) katika
picha ya pamoja na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP) nchini Tanzania , Rodriguez
Alvaro (kulia) wakiwa na mabango yenye
Malengo Mapya 2 kati ya 17 ya dunia wakati wa Semina ya wabunge kuhusu mchango
wao katika utekelezaji wa malengo hayo Bungeni Dodoma leo.
Mbunge wa Urambo Mhe. Margaret Sitta (Kushoto)
na Mhe. Najma Murtaza Giga, Mwenyekiti wa Bunge wakiwa katika picha ya pamoja
kwenye rangi za Malengo Mapya ya Maendeleo Endelevu 17 ya dunia wakati wa
Semina ya wabunge kuhusu mchango wao katika utekelezaji wa malengo hayo nchini
iliyofanyika Bungeni, Dodoma.
Mratibu Mkazi wa
Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP)
nchini, Rodriguez Alvaro akizungumza na
Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakati wa Semina Kuhusu
Malengo ya dunia iliyoandaliwa na Umoja huo mjini Dodoma leo.
Naibu Spika wa Bunge
la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson akizungumza na Wabunge wakati
wa ufungunzi wa Semina kwa wabunge kuhusu Malengo ya dunia iliyoandaliwa na
Umoja huo mjini Dodoma leo.
Mabango yenye Malengo
Mapya ya Maendeleo Endelevu 17 ya dunia.
Mtaalam wa Masuala ya
Uchumi kutoka Shirika la Maendeleo ya Umoja wa Mataifa (UNDP), Rodgers Dhliwayo
akiwasilisha mada kuhusu namna ya kuyafikia Malengo Mapya 17 ya dunia wakati wa
Semina ya Wabunge kuhusu malengo hayo mjini Dodoma.
No comments:
Post a Comment