Thursday, August 18, 2016
Tuesday, August 16, 2016
MHE RAIS ALIPOENDA KUMJULIA HALI MHE. SPIKA
Rais
wa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Spika wa Bunge Job Ndugai
nyumbani kwake Sala sala jijini Dar es Salaam alipokwenda kumjulia hali.
|
Thursday, August 4, 2016
SPIKA WA BUNGE MHE NDUGAI ALIPOTEMBELEWA NA VIONGOZI MBALIMBALI NYUMBANI KWAKE BAADA YA KUREJEA NCHINI KUTOKA INDIA
Kiongozi wa Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni Mhe Freeman Mbowe akizungumza na Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai alipomtembelea nyumbani kwake. |
Spika wa Baraza la wawakilishi Zanzibar Mhe. Zubeir Ali Maulid akisalimiana na Spika wa Bunge alipomtembelea nyumbani kwake Jijini Dar es Salaam. |
Spika Mstaafu Mhe Anne Makinda akizungumza na Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai alipomtembelea nyumbani kwake Jijini Dar es Salaam. |
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai katikati akizungumza na baadhi ya Wabunge waliomtembelea nyumbani kwake Jijini Dar es Salaam |
Subscribe to:
Posts (Atom)