Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana kwa
furaha na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai mara
baada ya kuwasili nyumbani kwake Sala sala nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam.
Rais
wa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Spika wa Bunge Job Ndugai
nyumbani kwake Sala sala jijini Dar es Salaam alipokwenda kumjulia hali.
Rais
Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mke wa Spika Dkt. Fatma Mganga Ndugai huku
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiagana na Spika Job Ndugai mara baada ya kuwajulia
hali nyumbani kwao Sala sala jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment