UJUMBE WA WABUNGE KUTOKA KOREA WAMTAMBELEA NAIBU SPIKA, DK. TULIA ACKSON LEO OFISINI KWAKE JIJINI DAR ES SALAAM.
Naibu Spika, Dkt. Tulia Ackson akizungumza na Ujumbe wa Wabunge kutoka Korea ya Kusini walipomtembelea leo ofisini kwake Jijini Dar es Salaam wakiongozwa na Kiongozi wao Won Yoochul wa kwanza kutoka kulia.
Naibu
Spika, Dkt. Tulia Ackson akifurahia zawadi ya Jarida la Watoto kati ya
Majarida 125 alilopewa na Ujumbe wa Wabunge kutoka Korea ya Kusini
walipomtembelea leo Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam, kulia ni
Kiongozi wa Ujumbe huo, Won Yoochul.
Naibu SpikA, Dkt. Tulia Ackson akipokea zawadi ya Taa ya Solar kutoka kwa Kiongozi wa Jumbe wa Wabunge kutoka Korea ya Kusini,Won Yoochul Wabunge hao walimtembelea Naibu Spika leo Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.
Naibu Spika, Dkt. Tulia Ackson na Kiongozi wa Ujumbe wa Wabunge kutoka Korea ya Kusini wakionyesha Jarida la Watoto ambalo Wabunge hao kutoka Korea wamemzawadia Naibu Spika jumla ya Nakala 125 za majarida hayo.
No comments:
Post a Comment