WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Friday, September 2, 2016

NAIBU SPIKA AFUNGUA MAFUNZO KWA KAMATI NNE ZA BUNGE.

Naibu Spika, Dk. Tulia Ackson akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Kamati nne za Bunge mara baada ya kufungua mafunzo ya siku nne kwa kamati hizo. Mafunzo hayo ya kuwajengea uwezo wabunge kuhusu uchambuzi na ufuatiliaji wa Bajeti yameanza leo Mjini Dodoma

Naibu Spika, Dk. Tulia Ackson akifungua mafunzo ya siku nne kwa Kamati Nne za Bunge ambazo ni  Kamati ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC), Kamati ya Bajeti na Kamati ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC)

Naibu Spika, Dk. Tulia Ackson akifuatilia uwasilishwaji wa mada katika semina ya wajumbe wa Kamati nne za Bunge katikati ni Mwenyekiti wa Kamati ya Bajeti, Mheshimiwa Hawa Ghasia na kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) Mheshimiwa Vedasto Ngombare. Mafunzo hayo yameanza leo Mjini Dodoma.


Wajumbe wa Kamati nne za Bunge wakimsikiliza Naibu Spika, Dk. Tulia Ackson wakati akifungua akifungua mafunzo ya siku nne kwa Kamati Nne za Bunge ambazo ni  Kamati ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC), Kamati ya Bajeti na Kamati ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC)


No comments:

Post a Comment