WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Tuesday, September 6, 2016

MATUKIO KATIKA PICHA-KIKAO CHA KWANZA, MKUTANO WA NNE BUNGE LA KUMI NA MOJA

Spika wa Bunge Mhe.Job Ndugai akiingia Bungeni kwa ajili ya kuendesha kikao cha kwanza cha Mkutano wa kwanza wa Bunge la kumi na Moja.
 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Job Ndugai akiwaongoza Wabunge wa kuimba wimbo wa Taifa wakati wa mkutano wa nne(4) wa  bunge la kumi na moja (11) la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.

Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. George Masaju akimueleza jambo Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa  wakati wa mkutano wa nne(4) wa  bunge la kumi na moja (11) la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye (MB) akieleza mipango ya Serikali katika kuimarisha michezo nchini na kuwataka wadau mbalimbali kujitokeza kusaidiana na Serikali kuwekeza katika Michezo.

No comments:

Post a Comment