WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Wednesday, October 26, 2016

KAMATI YA BUNGE YAKUTANA NA WAKALA WA MTANDAO WA SERIKALI (E- GOVERNMENT)

 Mkurugenzi Mtendaji  wa Wakala wa Mtandao wa Serikali (E- Government), Dkt. Bakari Jabir akijibu hoja za wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa mara baada ya Ofisi yake kuwasilisha mbele ya Kamati hiyo taarifa kuhusu Wakala huo. Katikati ni Waziri Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora, Mheshimiwa Angella Kairuki.

Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa wakiwa katika kikao cha Kamati leo Mjini Dodoma

Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala wa Mtandao wa Serikali (E - Government) Dkt. Bakari Jabir wakati akiwasilisha mada kuhusiana na muundo na majukumu ya Wakala huo katika kikao cha Kamati leo Mjini Dodoma

No comments:

Post a Comment