WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Tuesday, October 25, 2016

KAMATI YA KATIBA NA SHERIA IKIPOKEA MAELEZO KUTOKA KWA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI

     Kamati ya Katiba na Sheria ikiendelea na vikao vyake leo Mjini Dodoma.

 

   Baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Katiba na Sheria wakichangia mada baada ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kuwasilisha Muswada wa Marekebisho ya Sheria mbalimbali Na.3 wa mwaka 2016.

   Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG)  Mheshimiwa George Masaju akiwasilisha maelezo kuhusuMuswada wa Marekebisho ya Sheria mbalimbali Na.3 wa mwaka 2016 mbele ya Kamati ya Bunge ya Katiba na Sheria ili kujibu hoja zilizojitokeza.

No comments:

Post a Comment