WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Tuesday, October 25, 2016

KAMATI YA LAAC YAIHOJI MANISPAA YA KINONDONI

Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa(LAAC) walipokutana na  Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni katika kikao cha kamati hiyo leo Mjini Dodoma matumizi ya fedha za miradi mbalimbali katika Halmashauri hiyo.

Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa(LAAC) Mheshimiwa Abdallah Chikota akisisitiza jambo wakati kamati yake ilipokuwa ikiihoji Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni kuhusiana matumizi ya fedha za miradi mbalimbali katika halmashauri hiyo


Mbunge wa Kalenga Mheshimiwa Godfrey Mgimwa, ambaye ni mjumbe wa kamati ya LAAC akiuliza swali kwa watendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni waliokuwa wakihojiwa na kamati hiyo.

Mkurugenzi wa  wa Halmashauri ya Kinondoni, Aaron Kagurumujuli akijibu maswali yaliyoulizwa na wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa LAAC wakati halmashauri hiyo ilipokuwa ikihojiwa Mjini Dodoma. 

No comments:

Post a Comment