Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge
ya Nishati na Madini Mheshimiwa Innoncent Bunshungwa akichangia jambo katika
kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika leo Mjini Dodoma
|
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya
Bunge ya Nishati na Madini Mheshimiwa Doto Biteko akisisitiza jambo katika
kikao cha kamati hiyo kilichofanyika leo Mjini Dodoma
|
Waziri wa Nishati na Madini
Mheshimiwa Profesa Sospeter Muhongo akifafanua jambo mbele ya kikao cha Kamati ya Kadumu
ya Bunge ya Nishati na Madini kilichofanyika leo Mjini Dodoma
|
No comments:
Post a Comment