Naibu Spika Mhe. Tulia Ackson akifuatilia majadiliano ya wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii wakati wakijadili Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari wa mwaka 2016. |
Baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii na baadhi ya wadau wa habari wakifuatilia mjadala wa Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari wa mwaka 2016 |
Baadhi ya wajumbe Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii na baadhi ya wadau wa Habari wakifuatilia mjadala wa Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari wa mwaka 2016. |
No comments:
Post a Comment