WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Friday, October 21, 2016

UCHAMBUZI WA MUSWADA WA SHERIA YA HUDUMA ZA HABARI WA MWAKA 2016 WAENDELEA MJINI DODOMA

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii Mhe. Peter Serukamba (kulia) akielezea  jambo kwa wajumbe wa Kamati yake wakati wa majadiliano ya Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari leo, Mjini Dodoma kushoto ni Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye.




Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri  ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Tulia Ackson (kushoto) akifafanua jambo wakati wa majadiliano ya Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari leo, Mjini Dodoma.



Baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Kudumu Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii wakifuatilia majadiliano na hoja mbalimbali katika kikao cha kuujadili  Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari kinachoendelea Mjini Dodoma 


No comments:

Post a Comment