Spika wa Bunge, Mheshimiwa, Job Ndugai akisaini kitabu cha maombolezo katika msiba wa aliyekuwa mfanyakazi wa Bunge, Bi Khadija Idrisa Mussa kabla ya kuuaga mwili huo na kisha kusafirishwa kwenda Visiwani Zanzibar kwa ajili ya mazishi. Tukio hilo limefanyika katika Viwanja vya Ofisi za Bunge Mjini Dodoma
|
Naibu Spika wa Bunge, Mheshimiwa, Dkt Tulia Ackson akisaini kitabu cha maombolezo cha msiba wa aliyekuwa mfanyakazi wa Bunge, Bi Khadija Idrisa Mussa kabla ya kuuaga mwili huo na kisha kusafirishwa kwenda Visiwani Zanzibar kwa ajili ya mazishi |
|
Waheshimiwa wa Wabunge na Wafanyakazi wa Ofisi ya Bunge wakiuaga mwili wa aliyekuwa mfanyakazi wa Bunge, Bi Khadija Idrisa Mussa kabla ya mwili huo kusafirishwa kwendaVisiwani Zanzibar kwa ajili ya mazishi |
No comments:
Post a Comment