WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Friday, October 21, 2016

KAMATI YA PAC YAJADILI TAARIFA YA BOT

 Maafisa kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BOT)  wakiwa mbele ya Kamati ya Kudumu ya Hesabu za Serikali  (PAC) kwa ajili ya kujibu hoja za Kamati hiyo kuhusiana na Taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali katika Benki hiyo.

Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Profesa Benno Ndulu akitoa ufafanuzi wa jambo mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) leo Mjini Dodoma katika kikao cha Kamati hiyo.

Wajumbe wa Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC) wakimsikiliza Gavana wa Benki Kuu, Profesa Benno Ndulu katika kikao cha Kamati hicho kilichofanyika leo Mjini Dodoma

No comments:

Post a Comment