Naibu Spika wa Bunge, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson akifungua mafunzo ya siku mbili ya waheshimiwa wabunge kuhusu namna ya kuwajengea
uwezo wabunge jinsi kuhusisha Bunge katika kupambana na Maambukizi ya
UKIMWI, mimba za utotoni na vifo vya kina mama wajawazito na watoto. Mafunzo
hayo yameandaliwa na Umoja wa Mabunge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Kusini
mwa Jangwa la Sahara (SADC Perliamentary Forum).
|
No comments:
Post a Comment