Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai akitoa ufafanuzi wa jambo alipotembelea Kamati ya Sheria Ndogo katika ukumbi wa Hazina leo Manispaa ya Dodoma |
Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai na Mwenyekiti wa Kamati ya Sheria Ndogo wakifurahia jambo baada ya kutembelea Kamati hiyo leo. |
Mmoja wa wajumbe wa Kamati ya Sheria Ndogo akichangia mada baada ya Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai na ofisi yake kuwasili katika Kamati hiyo. |
No comments:
Post a Comment