Baadhi ya Wakuu wa Idara, Wakuu wa Vitengo wa Ofisi ya Bunge wakiwa katika semina kuhusu taratibu za ununuzi leo Mjini Dodoma
|
Thursday, November 17, 2016
MAFUNZO KUHUSU TARATIBU ZA UNUNUZI KWA WAFANYAKAZI WA BUNGE
Wednesday, November 16, 2016
SPIKA NDUGAI AKUTANA NA WADAU WA MAENDELEO KUTOKA NCHI ZA NORDIC
Wadau wa Maendeleo kutoka
Timu ya Ujumbe kutoka Nchi za Nordic walipomtembelea Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai ofisni kwake leo Mjini Dodoma.
|
Saturday, November 12, 2016
HATIMAYE MAREHEMU SITTA AZIKWA HUKO URAMBO HUKU, MHE SPIKA AKIUNGANA NA VIONGOZI WENGINE KATIKA MAZISHI HAYO
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe
Job Y. Ndugai akimsabai Mama wa aliyekuwa Spika wa Bunge la Tisa Marehemu
Samwel Sitta, Hajjat Zuwena Fundikira.
|
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe
Job Y. Ndugai akimsabai Mjane aliyekuwa
Spika wa Bunge la Tisa Marehemu Samwel Sitta Mhe Magreth Sitta wakati wa mazishi
wa Spika huyo Mstaafu.
|
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe
Job Y. Ndugai akitoa salama za rambirambi wakati wa mazishi wa aliyekuwa Spika wa Bunge la Tisa Marehemu
Samwel Sitta
|
Spika wa Bunge la
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job Ndugai akiweka shada la maua katika
Kaburi la aliyekuwa Spika wa Bunge la Tisa Marehemu Samwel Sitta.
|
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt Tulia Ackson akiweka shada la maua katika Kaburi la aliyekuwa
Spika wa Bunge la Tisa Marehemu Samwel Sitta.
|
Jeneza lilobeba mwili wa aliyekuwa Spika wa Bunge la Tisa Marehemu Samuel John Sitta likitumbukizwa kaburini wakati wa mazishi yaliofanyika Urambo, Tabora. |
Subscribe to:
Posts (Atom)