MAFUNZO KUHUSU TARATIBU ZA UNUNUZI KWA WAFANYAKAZI WA BUNGE
Mhadhiri kutoka Chuo Kikuu cha Mzumbe Ndugu. Paul
Nsimbila akitoa mafunzo kuhusu taratibu za Ununuzikwa Wakuu wa Idara, Wakuu wa Vitengo na
Wajumbe wa Bodi ya Zabuni katika semina iliyofanyika Ofisi za Bunge Mjini Dodoma
Baadhi ya Wakuu wa Idara, Wakuu wa Vitengo wa Ofisi ya Bunge wakiwa katika semina kuhusu taratibu za ununuzi leo Mjini Dodoma
No comments:
Post a Comment