Monday, January 30, 2017
Wednesday, January 25, 2017
TAMISEMI yawasilisha taarifa ya ukusanyaji mapato kwa njia ya kielektroniki kwa Kamati
Naibu
Waziri OR – TAMISEMI, Mhe. Selemani Jafo
akifafanua jambo mbele ya Kamati ya akifafanua jambo mbele ya Kamati hiyo.
|
Monday, January 23, 2017
KAMATI TATU ZAKUTANA KUJADILI CHANGAMOTO ZA BANDARI
Wajumbe wa Kamati ya Bajeti, Kamati ya Miundombinu na
Kamati ya Viwanda, Biashara na Mazingira wamekutana kwa pamoja leo
Mjini Dodoma kujadili changamoto mbalimbali za Bandari.kikao hicho kiliongozwa na wenyeviti ambao ni Profesa Norman Sigala King (Miundombuni) wa katikati ni Dk. Dalay Kafumu (Viwanda, Biashara na Mazingira) na Mhe. Josephat Kandege (Bajeti)
Wajumbe wa Kamati ya Bajeti, Kamati ya Miundombinu na Kamati ya Viwanda, Biashara na Mazingira wamekutana kwa pamoja leo Mjini Dodoma kujadili changamoto mbalimbali za Bandari. |
Wajumbe wa Kamati ya Bajeti, Kamati ya Miundombinu na Kamati ya Viwanda, Biashara na Mazingira wakifuatilia mjadala katika kikao cha Kamati leo Mjini Dodoma. |
Saturday, January 21, 2017
KAMATI YA ARDHI, MALIASILI NA MAZINGIRA YAKAGUA MRADI WA ILMIS
Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii
wakikagua mradi wa Kusimika Mfumo Unganishi wa Taarifa za Ardhi (ILSMIS) leo
Jijini Dar es Salaam.
|
Subscribe to:
Posts (Atom)