Mjumbe
wa Kamati ya Ardhi, Maliasili na Utalii, Mheshimiwa Risala Kabongo akiomba
kufafanuliwa jambo wakati Kamati hiyo ilipokuwa ikikagua mradi wa Kusimika
Mfumo Unganishi wa Taarifa za Ardhi (ILSMIS) leo Jijini Dar es Salaam, kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati, Mheshimiwa Atashasta Nditiye, wengine ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angelina Mabula na wa kwanza kulia ni Mjumbe wa Kamati Mhe. Silafu Maufi |
No comments:
Post a Comment