Wajumbe wa Kamati ya Bajeti, Kamati ya Miundombinu na
Kamati ya Viwanda, Biashara na Mazingira wamekutana kwa pamoja leo
Mjini Dodoma kujadili changamoto mbalimbali za Bandari.kikao hicho kiliongozwa na wenyeviti ambao ni Profesa Norman Sigala King (Miundombuni) wa katikati ni Dk. Dalay Kafumu (Viwanda, Biashara na Mazingira) na Mhe. Josephat Kandege (Bajeti)
|
Wajumbe wa Kamati ya Bajeti, Kamati ya Miundombinu na Kamati ya Viwanda, Biashara na Mazingira wamekutana kwa pamoja leo Mjini Dodoma kujadili changamoto mbalimbali za Bandari. |
|
Wajumbe wa Kamati ya Bajeti, Kamati ya Miundombinu na
Kamati ya Viwanda, Biashara na Mazingira wakifuatilia mjadala katika kikao cha Kamati leo Mjini Dodoma. |
No comments:
Post a Comment